Kusugua mara tatu kwa namna gani hilo ni jambo la muhimu. Unaweza kusugua hata mara moja kwa siku ikawa poa.Kitu cha muhimu sugua pale ukila kitu au kunywa soda. Kama mtu wa kulakula sana unaweza sugua hata mara 20 kwa siku.
Sugua baada ya kula sio kabla ya kula.