Msaada: Tatizo la kutokwa na jasho upande mmoja wa mwili

ozzy isayah

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
488
301
Hellow natumaini mu wazima wa afya,

Binafsi najiona sio mzima kiafya kwasababu nina tatizo nashindwa kulielewa ndani ya mwili wangu ninaomba msaada kwenu wataalamu.

-Naombeni mnisaidie niweze kujua nina tatizo gani kwani mwili wangu upande mmoja ndo unapataga tu jasho yani i mean upande wa kushoto wa mwili wangu from kichwani mpaka chini kwenye mguu mmoja ndio huwa unalowana tu jasho wakati upande mwingine ni mkavu kabisa.

Naombeni msaada wenu tafadhali, nashindwaa kuelewa ni tatizo gani.

Natangulizaa shukrani
 
Hili nitatizo langu kabisa lakini nasikitika hatuna madaktari bongo hawajui et hata humu jf???
 
Maumivu ya kichwa huanza poolepoole....kaka hiyo ni dalili ya stroke. Wahi mapema kapime sukari na pressure.
 
Back
Top Bottom