Ni muda sasa nimekuwa natumia flash drive kama external storage kwenye simu(android) kwa kutumia OTG.
Tatini ni kwamba huwa inatokea inaji'unmount yenyewe mara kwa mara mwanzo nilidhani huwa inatikisika ila baadaye nikagundua kuwa nikiweka Airplane mode on hilo tatizo halitokei.
Sasa naomba msaada cha kufanya kuzuia isiwe inaji'unmount huku sim network ikiwa on (airplane mode off).