Msaada: Tatizo la Camera katika smartphone

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
Mambo vp wana jf??

Naomben tujuzane sababu ya Camera kushindwa ku function na kuja maneno haya "Camera has stopped unexpectedly.need to restar. binafsi lishawah kunitokea hilo tatizo na nisha restore simu mara kadhaa. Naomba tujuzan sababu na utatuzi
Ahsanteni..
 
Kuna vitu vingi huweza kusababisha hususan apps ulizo-download.Kama kuna apps ulii-download kisha tatizo likaanza basi inabidi ui-uninstal hiyo app.Mara nyingi apps zinazoendana na camera kama vile Face unlock,viber nk huwa zinachangamoto japo siyo kwa kila simu.Hilo tatizo pia huweza kutokana na simu kuwa na app nyingi tofauti na uwezo wake wa Ram,cpu and gpu.Fanya hayo ya awali ikishindikana reset.
 

nisha restore mara kadhaa na apps zote zinafutika ila tatizo lip pale pale..
 

Kuna jamaa angu mmoja alikuwa na sony xperia c2 ilkuwa na tatizo kama hilo, akashauriwa ai flash na kweli alivyofanya ivo ikafanya kazi kama kawaida. Jaribu kutembelea wataalam yawezkana nayo ikawa ni ya kuflash tu mkuu
 
Ofcourse kuflash ni jambo la mwisho baada ya yote kishindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…