Msaada tafazali

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Habari zenu wakuu kwa anaeweza kunisaidia ili nipate ajira ndugu zangu nitamshukuru sana mm ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nipo dar elimu yangu kidato cha nne namba yangu ya cm 0656899091
 
Ungeweka unahitaji kazi gani mfano.driver,gardener,etc..sasa kwa hiyo style yako ya uandishi tegemea maswali mengi toka kwa wanajamvi..ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…