Owkay,
Kwanza huu ugonjwa ni kweli unaambukiza kwa njia ya kujaamiana endapo mmoja kaathirika tayari, ila nikujibu kutokana na maelezo yako hapo.
Pili, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kupata ugonjwa huo kwa njia moja tu ya kujaamiana, kwa sababu kuna njia nyingi na mojawapo ni hii hapa; Kutokana na mfumo wa maisha ya kisasa ambapo kila kitu ni UZUNGU, vyoo vingi tukienda kujisaidia hasa hv vya kisasa mara nyingi watu wanaingia kujisaidia kila mtu na maradhi yake hvo basi unaweza kujisaidia short call kwenye kile ki_beseni kumbe aliyetoka hapo haku_flash maji na ni muathirika na huo ugonjwa, so urine yako ikigongwa kwenye ukuta wa hicho kibeseni basi wadudu wanarukia kwako.
Tatu,