Hakuna maelekezo katika aina ya uandishi hivyo ni mapendekezo yako mkuu, ushauri kama unahisi mwandiko wako unaridhisha kwa wasomaji andika kwa mkono utakuwa umewashawishi zaidi kwa kuona upekee wako, lakini km unamashaka nao chapa we tia saini tuma mkuu.sambamba na katika lugha km ya kigeni iko sawa onesha ujuzi, lkn km hun hakika tumia lugha ya taifa.