Naomba mnisaidie.. nina modem ya Huawei inatumia tigo 173u-1 sasa nimejalibu ku unlock imekataa.. basi naomba mnisaidie kama kuna app katika PC inaweza kuditect modem kutumia line tofauti wakati naitaji kuitumia coz tigo sio kabisa yaan... Asante

hiyo waweza ku-unlock temporary au permanent.. njia ya temporary hua una detect port kwa kutumia huawei unlocker, njia ya permanent ni process kidogo inabidi uwe na firmware ya ku-unlock, ufanye backup, flash then una restore