Msaada tafadhari PXE-E61 erroe

Tectoner

Member
Dec 5, 2011
48
0
Computer inazingua inaleta sms hii "PXE-E61 media test failare check cable" hata nikitaka kuboot cd ya window inashindikana....nimecheki cable zote lakini sijafanikiwa jaman I.Ts naomba msada wenu
 
Computer inazingua inaleta sms hii "PXE-E61 media test failare check cable" hata nikitaka kuboot cd ya window inashindikana....nimecheki cable zote lakini sijafanikiwa jaman I.Ts naomba msada wenu

zima computer chomoa wire za power kama ni laptop chomoa battery fungua case chomoa CMOS RTC battery halafu press button ya power kwa sekunde 10-15 ili kumaliza charge zilizo baki kwenye capacitors baada ya hapo washa uangalie imesaidia?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…