[emoji23][emoji23]hapana bro sina shida bali nikujaribu kufanya utafiti kupitia experiences za raia mbali mbali ili kuepuka bias,,,,Mdogo wangu nimekuja mbio nikajua una tatizo kubwa aisee,Hakunaga Mapenzi Yale kupendana ni Zamani huko kwa Sasa kila mtu msanii.
Mwanamke huwa anapenda kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano, Mwanaume anatamani hapo jibu ni kwamba Wanaume ni tatizo.[emoji23][emoji23]hapana bro sina shida bali nikujaribu kufanya utafiti kupitia experiences za raia mbali mbali ili kuepuka bias,,,,
Ila nashkuru pia maana nimekuelewa kiundani zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ke huyu sio me[emoji23][emoji23]hapana bro sina shida bali nikujaribu kufanya utafiti kupitia experiences za raia mbali mbali ili kuepuka bias,,,,
Ila nashkuru pia maana nimekuelewa kiundani zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
We siku nyingine usiludie kutaja jinsia yangu Njoo pm nina jambo
SorryWe siku nyingine usiludie kutaja jinsia yangu Njoo pm nina jambo
Usijali best 😊
Umemjibu vyema, na labda nimpe angalizo mwanamke akipenda anapenda kweli.Mdogo wangu nimekuja mbio nikajua una tatizo kubwa aisee,Hakunaga Mapenzi Yale kupendana ni Zamani huko kwa Sasa kila mtu msanii.
Unaweza kutueleza ni kivip labda?? Maana bado sijaelewa kwakua hata kuna wanaume pia wakipenda wanazama penzini wazima wazimaUmemjibu vyema, na labda nimpe angalizo mwanamke akipenda anapenda kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app