blackhermit
Member
- Aug 28, 2016
- 24
- 8
Mkuu update graphics driverHabar za mida hii wakuu, naomba kusaidiwa Jins ya kufix video stuck katika laptop yangu ni HP min nikiangalia video au movie yoyote kwenye laptop inakuwa ina scratch na kustuck wakat nikiamishia kwenye simu yangu inaonesha vzur tu natumia vlc na built in video player ya Windows 10 lakin zote zinatatizo hilo. Naomben msaada wenu nifanyeje ili video zionekane vzur
Nashukuru mkuu ngoja nijaribuBut kwanza fanya hio method hapo kwenye scrn shot. Isiposolve ingia google usearch na kudownload graphics driver ya pc model yako
Mkuu samahani nina tatizo kidogo nje ya Mada kama una ideal unaweza kunisaidia.............. Natumia simu aina ya Samsung lakini nikichaji ikifika 70 % inagomea hapo tatizo linaweza kuwa niniBut kwanza fanya hio method hapo kwenye scrn shot. Isiposolve ingia google usearch na kudownload graphics driver ya pc model yako
Mhhh....Mkuu samahani nina tatizo kidogo nje ya Mada kama una ideal unaweza kunisaidia.............. Natumia simu aina ya Samsung lakini nikichaji ikifika 70 % inagomea hapo tatizo linaweza kuwa nini
Ila kama haina effect yyt mbaya, unaweza kuvumilia tuMkuu samahani nina tatizo kidogo nje ya Mada kama una ideal unaweza kunisaidia.............. Natumia simu aina ya Samsung lakini nikichaji ikifika 70 % inagomea hapo tatizo linaweza kuwa nini
Ila kama haina effect yyt mbaya, unaweza kuvumilia tuMkuu samahani nina tatizo kidogo nje ya Mada kama una ideal unaweza kunisaidia.............. Natumia simu aina ya Samsung lakini nikichaji ikifika 70 % inagomea hapo tatizo linaweza kuwa nini
Mkuu hizi mini nyingi zi si laptop za kununua maana zinatumia processor za intel atom za kizamani na nyengine hata dual core hazina.Habar za mida hii wakuu, naomba kusaidiwa Jins ya kufix video stuck katika laptop yangu ni HP min nikiangalia video au movie yoyote kwenye laptop inakuwa ina scratch na kustuck wakat nikiamishia kwenye simu yangu inaonesha vzur tu natumia vlc na built in video player ya Windows 10 lakin zote zinatatizo hilo. Naomben msaada wenu nifanyeje ili video zionekane vzur
Thanks chiefMkuu hizi mini nyingi zi si laptop za kununua maana zinatumia processor za intel atom za kizamani na nyengine hata dual core hazina.
Kukusaidia hapo download program inaitwa media player classic ndio player nyepesi yenye codecs nyingi utaipata hapa
Downloads · MPC-HC
Click installer ya 32bit.
Pia avoid movies na video zenye high resolution max tafuta HD ya kawaida ila most of time tumia sd.