definition JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 972 Reaction score 1,584 Jun 8, 2015 #21 la muhimu nikwenda hosptal mapema...ili kama ni allergy afanyiwe allergy test kuliko kutibu kwaku bahatisha.
la muhimu nikwenda hosptal mapema...ili kama ni allergy afanyiwe allergy test kuliko kutibu kwaku bahatisha.
E Edo Mashili Member Joined Apr 19, 2015 Posts 24 Reaction score 0 Jun 9, 2015 Thread starter #22 Nashukuru wakubwa kwa ushauri wenu mbarikiwe sana
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,173 Reaction score 11,620 Jun 25, 2015 #23 Mkuu wa chuo said: hapana sio huo wa Slaa, nilikuwa najua ule wa falaq... Click to expand... Watu wenye imani za kishirikina ndio maana mnadhurika na kufa ovyo. Wacha kabisa imani za kijinga.
Mkuu wa chuo said: hapana sio huo wa Slaa, nilikuwa najua ule wa falaq... Click to expand... Watu wenye imani za kishirikina ndio maana mnadhurika na kufa ovyo. Wacha kabisa imani za kijinga.
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,626 Reaction score 5,346 Jun 25, 2015 #24 kahtaan said: Watu wenye imani za kishirikina ndio maana mnadhurika na kufa ovyo. Wacha kabisa imani za kijinga. Click to expand... kwa hiyo umekwisha achana na falaq?!
kahtaan said: Watu wenye imani za kishirikina ndio maana mnadhurika na kufa ovyo. Wacha kabisa imani za kijinga. Click to expand... kwa hiyo umekwisha achana na falaq?!