Eve,unaweza kuwa ni wewe Mungu apewe sifa maana mke mwema hutoka kwake Bwana.Naona sifa angalau ya kwanza,wewe ni mkristu.Miezi miwili nadhani nitakuwa nimepata wachumba na kuchagua mmoja na huo ndo utakuwa mwisho.
Mwenzenu nashukuru sana wanajf nimefalijika sana nimepata msaada nilohitaji kumbe hakuna haja ya msenga au dalali.Sitamwacha huyu binti niko naye tayari.Jf oyeeee.