OGOPASANA JF-Expert Member Apr 30, 2009 262 144 Jun 28, 2012 #1 Heshima kwenu wakuu, naombeni msaada wa kupata kitabu kinachoitwa "Making microfinance work: managing for improved performance" kilichoandikwa na Craig Churchill, Cheryl Frankiewicz katika pdf format. Natanguliza shukrani. [h=3][/h]
Heshima kwenu wakuu, naombeni msaada wa kupata kitabu kinachoitwa "Making microfinance work: managing for improved performance" kilichoandikwa na Craig Churchill, Cheryl Frankiewicz katika pdf format. Natanguliza shukrani. [h=3][/h]
OGOPASANA JF-Expert Member Apr 30, 2009 262 144 Jun 28, 2012 Thread starter #3 koo said: Jaribu kuchek na Google unaweza kupata Click to expand... Mkuu koo, nimejaribu sana ila wanatoa book review tu na sio kitabu kizima.
koo said: Jaribu kuchek na Google unaweza kupata Click to expand... Mkuu koo, nimejaribu sana ila wanatoa book review tu na sio kitabu kizima.