Msaada tafadhali

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,060
Wakuu,nahitaj office equipments.mazaga yote kwa bei ya jumla lakin kama mtu anayo
1.desks
2.shelves
3.desktop computers
4.viti
5.meza za offisi
6.projector
7.writing boards
8.curtains
Kila kitu wakuu kwa bei ya jumla.

Nawalenga wale wanaofunga offis na wanaona bora wauze tuu mali zao..najua kampun/NGO nying zmekufa etc

So hapa hapa ndo kwenye ganda la ndiz

Uzi tayar
 
Kufa kufaana, halaf wanauzaga weng sana sema siku hazifanan, maalum Kwa wale wote waliamua kurudisha mpira kwa kipa
 
Kufa kufaana, halaf wanauzaga weng sana sema siku hazifanan, maalum Kwa wale wote waliamua kurudisha mpira kwa kipa
Kabisa mkuu,..ngoja niingie na kupatana.com
 
Mkuu vp unatak kufungua shule au
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…