Nilimaliza form two mwaka 2012 nilifaulu ila sikueza kuendelea mbele , vp inawezekana nikafanya mthiani wa form four kama private candidate? Vipi na utaratibu unakuaje kama inawezekana? Shukrani
Nilimaliza form two mwaka 2012 nilifaulu ila sikueza kuendelea mbele , vp inawezekana nikafanya mthiani wa form four kama private candidate? Vipi na utaratibu unakuaje kama inawezekana? Shukrani
hakuna kinachoshindikana katika suala la ELIMU.... kwa kuwa unania ya KUSOMA utafanikiwa malengo yako.. utafanya mtihan katika category ya PRIVATE CANDIDATE,,, but nakushauri utumie at least 2 years kufanya recall ya yale ya zamani,pia kwa haya mapya.... pitia past papers......... solve,, kuwa na TARGET... hakika unaweza