Kwanin usingeanziaga certificate ya afya mkuu na wakat o'level ulipasua kabisa...tena hata diploma ungeipiga mbonaPoa mkuu
Nilikua na mpango huo, but nilipata shavu kwenye taasisi moja ya fedha then nikaona nisikae idle kipindi cha probation. ndo nikapiga tu hiyo diploma parttime maana mazingira yalikua yanaruhusu.Kwanin usingeanziaga certificate ya afya mkuu na wakat o'level ulipasua kabisa...tena hata diploma ungeipiga mbona
Labda urudie diploma ya IT or SC otherwise haiwezekanNilikua na mpango huo, but nilipata shavu kwenye taasisi moja ya fedha then nikaona nisikae idle kipindi cha probation. ndo nikapiga tu hiyo diploma parttime maana mazingira yalikua yanaruhusu.
Sasa nilitaka nirudi kwenye kitu nilichokua na passion nacho.
kwahyo awe na diploma ya Banking and finance pia diploma ya ITLABDA DIPLOMA NYINGINE
Yaan kamaanisha labda angekua na diploma nyingine related to IT ndio angeweza kisoma degree ya ITkwahyo awe na diploma ya Banking and finance pia diploma ya IT