juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Habari zenu wanajukwaa?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mwenzenu leo nimeamka najisikia vibaya, nikaenda hospital kufanya body check up nimeambiwa sina tatizo lolote nimeambiwa labda tu ni uchovu sasa kilichonileta hapa leo ni kwamba mwenzenu nikiugua tu kidogo yaani akili yangu inaenda mbali sana.
Huwa nawaza kufakufa, namfikiria mama yangu Kemmy, namuwaza dada yangu Kerry na namuwaza kaka yangu Jimmy, nawawaza wanagu Moureen, Sean na Travis namuwaza mpenzi wangu/mchumba wangu Joan.
Natafakari kwamba hao nitawaacha? Yaani nitaenda peke yangu na nitazikwa kabisa na sitaonana nao tena hao watu? Naiwaza dunia ilivyo tamu kwa kweli najikuta nakosa amani na nakosa hadi hamu ya kula, najikuta napungua kabisa naiangalia gari yangu nawaza nitaiacha tu hapa duniani kweli? Ina maana sita KWICHIKWICHI tena? Nitaenda kuoza na hatimaye nitakuwa mavumbi? Yaani hata JF nitaiacha?
Najikuta naogopa sana jamani, hayo ni mawazo ninayoyawaza nikiugua tu naomba msaada wenu nifanyeje ili yasinijie? Maaana yanajirudiarudia sana.
NB: Dunia ni tamu sana.