Msaada tafadhali kuhusu wif networks

NYAMALAWA

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
90
Reaction score
17
Kuna kipindi hapa ofisini nilikua naunganisha wireless network ya kampuni kwenye ka android kangu asa wakagundua kama natumia sijui walifanyeje manake sikuiz nikiunganisha inagoma inaandka disconected then scanning baada ya hapo hamna Kitu.tafadhali anaejua kvip naezafaudu hii intanet anipe maujanja
 
hapo ofisin kwenu wamebadili key *security key*na ushukuru hawajakufuma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…