kim prince msofe
Senior Member
- Feb 27, 2015
- 154
- 44
doooh...kuna watto wazurii sanaa na walee jamaa wa kunyooaa viduku na Suruali za zipu zipu wako wengii mnoo
But this should not be rated as news alertNaomba mwenye anafaham kuhus chuo cha CBE dar es salaam anambie sifa zake kwaujumla na mazingira yake
Duuuuuh aiseeekuna watto wazurii sanaa na walee jamaa wa kunyooaa viduku na Suruali za zipu zipu wako wengii mnoo
NJAA TUNaomba mwenye anafaham kuhus chuo cha CBE dar es salaam anambie sifa zake kwaujumla na mazingira yake
Sioo tunaktishaa jamaaa... huo ndo ukwelii sasaaMbona mnanitisha asee mi nmechaguliwa huko ndo maana nkauliza
Duu kwahiyo mnanishaur nnvwana jfSioo tunaktishaa jamaaa... huo ndo ukwelii sasaa
akili kichwanii jamaaa... kafnyee kilichokupelka mengine wachie wenyeweDuu kwahiyo mnanishaur nnvwana jf
Poa kaka ahsanteakili kichwanii jamaaa... kafnyee kilichokupelka mengine wachie wenyewe
MmmhMuwe mnauliza kabla ya kuomba vyuo! mweee!
Umeona wapi chuo ulicho chaguliwa me sijaona chuoMbona mnanitisha asee mi nmechaguliwa huko ndo maana nkauliza
Bora umeulza wewUmeona wapi chuo ulicho chaguliwa me sijaona chuo
Nimetumiwa sms na chuo chenyeweUmeona wapi chuo ulicho chaguliwa me sijaona chuo