Wakuu habari
Na movie zangu nimedownload kwenye Tab nataka niziangalie kwenye Tv
Nina Samsung Galaxy Tab A ina run Lolpop
Kila niki connect kama mass storage kwenye Tv yangu Star-x, Tab haisomeki kwenye Tv
Nikiconnect Tab inaleta ujumbe na kunitaka nichague ku connect kwa MTP au kwa TPT
Option zote zinagoma Tab kuconnect kama mass storage
Star X sio smart Tv, na Tab haina memory card
Cha ajabu niki connect kwa tecno ya tochi inasoma vizuri tu,