hii kitu inamix kweli.....mwenye kujua atuweke bei ya fire kulingana na cc za gari.....
Ni kweli sasa hivi sticker ya fire inalipiwa TRA ikiunganishwa pamoja na Motor vehicle licence LAKINI baada ya hapo hakuna malipo mengine.......unaenda ofisi za Fire na hiyo receipt ya malipo na mtungi wako wa gas, wanatakiwa waukague na kama hauna kasoro wanatakiwa wakuandikie sticker,period.
lakini ndio inavyofanywa hivyo?
hii kitu inamix kweli.....mwenye kujua atuweke bei ya fire kulingana na cc za gari.....