Hakuna simu inaitwa Sony Ericsson Xperia, kuna Sony Ericsson na Sony Xperia, sasa hiyo unayotaja ni ipi? anyway, inabidi useme pia model ya simu kwa sababu ukubwa wa betri hutifautiana kulingana na ukubwa wa simu. Nebda kwenye maduka yao, moja lipo Mlimani city, jingine lipo Quality center.