J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 448 Reaction score 765 May 23, 2024 #1 Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,422 Reaction score 13,457 May 23, 2024 #2 Lima machungwa au machenza.
J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 448 Reaction score 765 May 23, 2024 Thread starter #3 Sappire said: Lima machungwa au machenza. Click to expand... Limau
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,293 Reaction score 25,771 May 23, 2024 #4 Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Masolko yote haya mkuu
Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Masolko yote haya mkuu
ahzan JF-Expert Member Joined Apr 2, 2022 Posts 302 Reaction score 475 May 23, 2024 #5 Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Upo wapi?
Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Upo wapi?
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,597 Reaction score 5,180 May 23, 2024 #6 Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Tafuta baa kadhaa zinazotoa huduma ya chakula ongea na watu wa jikoni sambaza huko ukipata bucha ya kitimoto unyama zaidi
Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Tafuta baa kadhaa zinazotoa huduma ya chakula ongea na watu wa jikoni sambaza huko ukipata bucha ya kitimoto unyama zaidi
J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 448 Reaction score 765 May 23, 2024 Thread starter #7 ahzan said: Upo wapi? Click to expand... Kondoa
J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 448 Reaction score 765 May 23, 2024 Thread starter #8 Kilangi masanja said: Tafuta baa kadhaa zinazotoa huduma ya chakula ongea na watu wa jikoni sambaza huko ukipata bucha ya kitimoto unyama zaidi Click to expand... Shukrani mkuu japo nilitamani sehemu nitakayouza kwa jumla
Kilangi masanja said: Tafuta baa kadhaa zinazotoa huduma ya chakula ongea na watu wa jikoni sambaza huko ukipata bucha ya kitimoto unyama zaidi Click to expand... Shukrani mkuu japo nilitamani sehemu nitakayouza kwa jumla
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,689 Reaction score 41,849 May 23, 2024 #9 Sahivi msimu wa malimao sokoni ukiwa na buku unachukua kisado
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,392 Reaction score 104,788 May 23, 2024 #10 Hongera kwa kilimo chenye tija mkuu...😊
J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 448 Reaction score 765 May 23, 2024 Thread starter #11 jiwe angavu said: Sahivi msimu wa malimao sokoni ukiwa na buku unachukua kisado Click to expand... Duh kwa hiyo nimekula hasara mkuu?
jiwe angavu said: Sahivi msimu wa malimao sokoni ukiwa na buku unachukua kisado Click to expand... Duh kwa hiyo nimekula hasara mkuu?
J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 448 Reaction score 765 May 23, 2024 Thread starter #12 Swahili AI said: Unaweza jaza tani ngapi? Click to expand... Hazifiki tani mkuu, ni miti kadhaa tu
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 15,656 Reaction score 14,615 May 23, 2024 #13 Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Huna soko jirani na wewe? Je unajua bei ya limau mtaani kwako hata sehemu zingine baada ya kupata jibu tembelea magenge wauzie
Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Huna soko jirani na wewe? Je unajua bei ya limau mtaani kwako hata sehemu zingine baada ya kupata jibu tembelea magenge wauzie
Tom lee Ab Member Joined Jan 11, 2020 Posts 41 Reaction score 17 Jun 1, 2024 #14 Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Tani ngapi dalali anakula ngapi masoko yapo dar lete upige pesa
Joseph Gadiel said: Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao. View attachment 2997610 Click to expand... Tani ngapi dalali anakula ngapi masoko yapo dar lete upige pesa
sitagliptin JF-Expert Member Joined Mar 10, 2023 Posts 1,497 Reaction score 2,916 Jun 29, 2024 #15 ahzan said: Upo wapi? Click to expand... Usijefanya kosa unalima bila kujua soko lako utahis kila.mtu mchawi kwako
ahzan said: Upo wapi? Click to expand... Usijefanya kosa unalima bila kujua soko lako utahis kila.mtu mchawi kwako