Yeah kiujumla Samsung galaxy star plus ni nzuri coz nimeshaiona na kuna rafki yangu anaitumia so kwa simu za Samsung haina shida ila angalia isiwe fake coz mchina katoa copy nyingi, cha kukushauri hakikisha ni original na kuijua kua hii simu ni original au laa kwa Samsung click *#0*# afu ok itakuletea sensor kama ukisogezea mkono inasense itakua ni original na colours pia uangalie