Msaada: Simuelewi

Acha kuwadhaifu kjn,mkatae mazima hakuna haja ya kuenelea kujidharaurisha.
 
kwani ugomvi huo ni wa nini tusishauri tu usikute wewe ndio tatizo
 
Alikuwa anatafuta sababu ya kukutema ili aendelee kivyake vyake na mchuchu wake wa pembeni, kama yalikuwa ni makwaruzano kidogo kama ulivyoandika. Piga konde moyo ili uweze kuendelea na maisha yako. Pole sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…