Habarini wanajamvi.
Nina simu Motorola android inamatatizo Kama mawili Hivi,
moja nikipokea cm niliyopigiwa, aliyenipigia anasikia inakoroma na kupiga kelele zinazo muumiza mpigaji masikio.
pili Kama akikata na kupiga tena nikishapokea tu inazima yenyewe na kujiwasha yani mpaka inanikera sana.
Wadau nisaidieni nifahamu tatizo ikiwezekana nifahamu na fundi mzuri ambaye atanisaidia
Thanx sana Mimi nipo dar