NASEEB HASSAN
Member
- Oct 7, 2017
- 42
- 27
Hizo simu ndio tatizo lake hilo common sana,,,, fuata ushauri wa jamaa hapo juu na pia ikigoma jaribu kureset network settingsNina TECNO-W3LTE inatatizo la kwenye whatsApp tu ndo inazingua nikiwasha data whatsApp inakataa ila app zingine zote zinakubali.
Nilijaribu kuconnect wifi ndo WhatsApp ikakubali na siwezi kutumia wifi mpaka niwe home ndo namwambia brother wangu aniwashie wifi hotspot nikonect.
Ila nili factory data reset whantsapp ikakubali kwa siku moja tu baadae tatizo likajirudia, kwa wenye ujuzi wa simu nisaidia nifate muongozo gani kwaajili ya simu yangu.
Shukrani sana nduguNenda HI MANAGER kwenye simu yako kisha>Data traffic Management >whatsapp toa tick/[emoji818] Enjoy
Nimefanikiwa nduguNenda HI MANAGER kwenye simu yako kisha>Data traffic Management >whatsapp toa tick/[emoji818] Enjoy
Shukrani sana ndugu
Sawa.Nimefanikiwa ndugu