Habari,poleni na majukumu
nilipoteza simu siku kadhaa zilizopita,ktokana na ukata wa pesa ukanfanya kukumbuka simu nlikuwa nmeiweka ndani tecno pop 2f ilovunjika kioo siku za nyuma(kioo complete)tatizo inastuck sana&nkiwa naandka namba ili npate 1 lazma nbonyeze 2,vivyo hvyo ata nkiwa natype sms
mwenye ako na ujuzi au ashawahi kumbana na changamoto kama hii alipobadlisha kiio&touch vya simu ake naomba kujuzwa Jinsi alivyosolve tatizo kama hili.