DisplayTatizo ni kioo cha siyo (not protector). Tatizo lake lingine ni uwepo wa shoti za umeme.
display ishakata roho iyoHow?
Opay m1 lte ipo kama samsung a01Narudia tena, taja aina ya simu vinginevyo uzi utajaa stori tu. Hii itasaidia walioexperience waweze kuchangia.
Mfano me natumia Samsung tangu nianze kumiliki smartphone unafikiri ntachangia nini kwenye mada inayohusu iphone?
Kuna mambo ya kuzingatia km kampuni, toleo la simu, operating system, aina ya kioo n.k