Msaada: Simu inagoma kustart upya

kimuri

Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
82
Reaction score
96
Hellow

Nlikuwa na iPhone 6+ from China, Sasa nikafuta kila kitu yani. Sasa simu ikajiprocess hadi kustart upya, ikaniguide kuset lugha nikaweka then nchi nikaweka

Sasa next ikawa inahitaji niactivate ili niendelee mbele, option zilizokuwepo Ni mobile network, wifi (ambazo zote zimegoma) the last one ni iTunes au iCloud ambayo nmeshindwa kuconnect na computer.

Kama kuna mtu anaweza kunsaidia wakuu nipo Ubungo Riverside Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta simu nyingine uwashe Hotspot&Tethering halafu nenda kwenye iPhone yako bofya kwenye WiFi Kisha connect,ukisha connect itakuomba iCloud account iliyokuwepo kwahiyo iweke vilevile na password zake itafunguka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio jukwaa lake. Ila sio case Mods watabadirisha.

Izime. Bonyeza Home Button na Power/Sleep Button kwa pamoja kama sec 5.

Hapo unakua na PC yako ina iTunes au Mac, na Internet.

Itakua sign kwenye Simu inakutana connect kwenye iTunes.

Baada ya hapo follow simple instructions kwenye iTunes.

Voila!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shukrani let me try

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…