Wakuu habari,
Camera ya simu yangu imestop kupiga mbele na nimejaribu kila namna imeshindikana ila front najipiga kama kawaida sijajua tatizo ni nini? aina ya simu ni Tecno P3