Sina ujuzi kwa hiloSawa... Lakini vipi.. Naweza dakwa nikiweka simu kad yangu?
Akudake nani kijana.Sawa... Lakini vipi.. Naweza dakwa nikiweka simu kad yangu?
Wewe una ujuzi wa kukosoaSina ujuzi kwa hilo
Sasa hofu ya nini.Kwa hiyo halotel yangu iingie mzigon bila hofu?
Uwezo wa kukudaka wanao. Ila most of time hawafuatilii, na wakiamua kufuatilia Wana blacklist tu IMEI, siku utaamka utakuta inaandika Emergency call only.
Chengine hapo juu kama mdau alivyosema inawezekana pia ikawa sio simu OG. Hasa hio position ya front camera imekaa kama Water drop notch.
S21 yenyewe ina cutout
Kuwa makini kama unauziwa.
WiFi ngumu.Mkuu hata akitumia WiFi pekee anaweza kamatwa?