Jamanii we naamini JF apa wamejaa wataalam wa mambo mbali mbali yakiwemo Hays ya sim
Nikwamba sim yangu imekua ikinisumbua kuna baadhi ya apps has a za porno (
) zimekuwa ziki ji-instal kila ninapo washa data na inakuwa inaganda ganda adi inakera pia matangazo ya app mbali mbali yanatokeza kwenye screen nikiwasha data
Msaada kwa anaejua sulihisho la tatizo hill tafadhari