Dunia ni hii sayari ya tatu kutoka juani ambamo sisi tunaishi.
Dunia hii inapimika, namaanisha ina uzito wake unaojulikana, kipenyo chake nk.
Lakini ulimwengu haupimiki, hauna mwisho. Vyote unavyoviona huko juu vipo katika ulimwengu.
Dunia ni hapa mahala tunapoishi ambayo ni sayari ya tatu ktk mfumo wa jua/solar systen.
ulimwengu ni mahala pote means that nyota,galaksi,sayari na kila kitu ambacho kinapatikana kwenye anga vipo ktk ulimwengu kwa ujumla unaweza sema ulimwengu umekombaini kila kitu.