Anayefahamu namna kuset Auto Call recording kwenye Samsung A14 naomba anisaidie, simu yangu inagoma hata niki download App ya kurecord haifanyi kazi inasema nitumie Auto Call recording ya ndani ya simu, built-in app ambayo pia inagoma.
Shukrani sana.