Tafadhali wakuu wa kazi,
Najua nikiamini Mungu wangu yupo pamoja nanyi, sasa me mwenzenu nahitaji screen ya laptop niliyoileza hapo juu msaada tafadhali.
Nashukuru sana kwa ushuhuda wako. Tunapenda kujenga na kudumisha TRUST na wateja wote, kwasababu wateja wetu wanapofanikiwa nasi kama kampuni tunasonga mbele.