karibu saut msuli upo kujitambua kilichokuleta bi jambo la muhimu sana walimu wapo wazuri tu bidii yako inaitajika kuepuka supp maisha kiujumla ni mazuri hostel zipo za chuo na njee ya chuo ni mapenzi yako hostel za chuo ugharimu laki tatu ila za nje utegemeana na hostel zipo laki tatu nne tano sita na kuendelea kulingana na mahitaji yako mwenyewe ila iyo bei ni kwa mwaka wa masomo sio semister