Tununu. Kyala akutulaTununu nkamu...twa mbombo!!
Akiufuata huu ushauri atakuwa amesaidika sana,simu ukishampa fundi akaitia tia vidole hiyo inakuwa siyo simu tena bali kopo.Kama kwenye PC kuna recycle bin kwahiyo angalia hapo kwenye chumba uliopo kama kuna recycle bin kama huna install then tupa and empty bin ...Problem Solved
Wadau hii simu inanipasua kichwa na hii tabia ya kuzima na kujiwasha inavyotaka yenyewe....
Tatizo huwa linaanza nikiwasha tu data, inaweza tulia kwa muda ila nikigusa tu baadhi ya app basi itajizima...
Ikiwa kwenye chaji hata haizimi, pia nikiitumia bila data pia inakuwa poa tu..
Hapa nimebadilisha betri zaidi ya mara 3 sioni mabadiliko...
Naomba msaada,tatizo linaweza kuwa nn..na solution yake ni nini??
Kama kuna mtu anamjua fundi mzuri hapa dar anielekeze, simu yangu bado naipenda wakuu!!
Mkuu samahan, ulifanikiwa kufix tatizo lako na mim nina shida.Wadau hii simu inanipasua kichwa na hii tabia ya kuzima na kujiwasha inavyotaka yenyewe....