Mkuu nami umenipa somo ila naomba unisaidie na mimi hili tatizo Sumsung note2 ukiangalia salio fresh ila ukitaka kuingiza menu yoyote mfano *150*01# inasema invalid MMI CODESMkuu nenda setting >about phone> imei check kama zipo + baseband kama ni (unknown) basi [>fix baseband] na kama imei hazipo basi repair imei na kama wajua kuwrite cert vasi ndo kazi na kama hujui basi jua gharama zinahusika.
Ingia kwenye upande wa mobile network na iruhusu simu ijichagulie mtandao, I mean iwe kwenye option ya 4G/3G/2G na sio 3G only.Naomba kwa wajuao tatizo la simu tajwa kuandika "No service" au "Emergency Calls Only" hata kama network kwa baadhi ya simu ipoView attachment 1098370View attachment 1098370View attachment 1098370
Ingia kwenye upande wa mobile network na iruhusu simu ijichagulie mtandao, I mean iwe kwenye option ya 4G/3G/2G na sio 3G only.
Ikishindikana, fuata ushauri wa majamaa hapo juu.
Mkuu nenda setting >about phone> imei check kama zipo + baseband kama ni (unknown) basi [>fix baseband] na kama imei hazipo basi repair imei na kama wajua kuwrite cert vasi ndo kazi na kama hujui basi jua gharama zinahusika.