Msaada.Samsung gallaxy Pocket .......

Mpangawangu

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
887
Reaction score
965
Simu yangu ya Samsung gallaxy Picket 6301 baada ya ku download sana mafaili ilianza kuwa nzito.

jamaa yangu akanishauri niifanyie restoring ili nianze kuweka upya application,lkn sasa baada ya kufanya hivyo imekataa kuingia kwenye google store.

kila nikiweka exist account ya google inagoma,pia niki create new nayo inakuwa hivyohivyo.

wananiambia either metwork or Android program haipi vizuri.

je nifanyeje ili miweze kupakua (download)application toka google store?
 
Fanya internet APN vizuri au Achana na playstore download Maborobo hapo kuna vitu kuliko playstore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…