Decha Member Joined Jul 7, 2013 Posts 39 Reaction score 6 Apr 24, 2014 #1 Ninatumia samsung galaxy S4 SGH 1337 ni 4G ya AT & T ilikuwa inatumika nje, baada ya kuifungua network , network sio nzuri nifanyeje?
Ninatumia samsung galaxy S4 SGH 1337 ni 4G ya AT & T ilikuwa inatumika nje, baada ya kuifungua network , network sio nzuri nifanyeje?
Meshaque09 Member Joined Mar 10, 2012 Posts 44 Reaction score 1 May 8, 2014 #2 Tatizo ili hata mi nnalo...msaada please