B.4really Senior Member Joined Jan 30, 2013 Posts 199 Reaction score 89 May 8, 2014 #1 Naomben msaada wenu wakuu kwani simu yangu imegoma kufungua apps zote znazohusiana na internet ikiwa ni pamoja na internet yenyew...nikijarib kufungua inaniandikia No Network Connection,msaada wenu tafadhali.
Naomben msaada wenu wakuu kwani simu yangu imegoma kufungua apps zote znazohusiana na internet ikiwa ni pamoja na internet yenyew...nikijarib kufungua inaniandikia No Network Connection,msaada wenu tafadhali.