Msaada: Samsung galaxy note 3

Tasbeeh313

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
1,919
Reaction score
2,057
Habary, naomba mnisaidie jinsi ya kuunganisha na internent sim yangu samsung note 3 kupitia vodacom nimewapigia voda wanasema sim yang ni clonic/ copy sio orignal wakantumia manual bt still inasumbua

Am done........
 
Usione watu wapo kimya maanake hawajui njia ya kuunga hiyo clonic, lakini kama note 3 yenyewe unaingia>settings>more network>acces names>apn
 
Usione watu wapo kimya maanake hawajui njia ya kuunga hiyo clonic, lakini kama note 3 yenyewe unaingia>settings>more network>acces names>apn

Hapo Ujamsaidia Malizia Kidog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…