hizo rising hata google hawapo, mhh! i doubt t..
Mimi hua naangalia specifications... Refresh rate 60Hz+, contrast ratio kubwa sana at least 3000:1.. na kama ni smart tv basi Operating system yake uwezekano wa upatikanaji wa software, na inputs pia je kuna HDMI cable, fast USB ports za kutosha... kama haina kati ya hivo naacha sinunui...
Asante mkuu kwa msaada,yenyewe ina USB port moja tu afu ni LCD,afu nataka kuuliza kitu kimoja,HDMI ina maana gani?
HDMI - High Definition Multimedia Interface, vitu kama tablets, cellphones na computers unaweza ukaconncet either kwa waya au wirelessly kupitia HDMI port kwenye TV na ikakupa uwezo wa kutumia TV yako kama display, inaweza kucheza High Definition content kwa speed nzuri kama ina HDMI port....
the best brand ni SONY, SAMSUNG, LG hizo RISING ni takataka. So bora kujipanga kununua kitu ya ukweli
Ahsante sana kwa mchango wako,pia kuna LG flat screen inch 24,used nimeambiwa bei yake ni laki 4,vp Brand New LG 24 inch ni shilingi ngapi? samahani wakuu mie ni mshamba ktk mambo ya smart tv,ila nataka kununua sasa naomba msaada wa kiuzoefu kutoka kwenu.
Kwa laki 4 halafu Used mimi sikushauri ununue. Jibane uongeze hela ukanunue new SAMSUNG LED 32 Inch. Zanzibar ni bei rahisi unaweza kupata kwa 540,000.Pia tembelea mabanda ya Saba Saba unaweza kupata kwa bei Nafuu kitu kipya kabsa