ujenzi huchukua pesa nyingi sana ila wengi hawako tayari kupata ushauri sahihi kutoka kwa wataalamu katika eneo husika. nakushauri upate architect akupe consultation namna ya kutimiza ndoto yako na namna ya kutumia pesa yako. otherwise usije jikuta unapata maswali mengi kuliko majibu!
Sent from my iPhone using JamiiForums