duh afadhali tuta saidiana humu, janaa nimetoka kununua corolla e110 ya uk version, taa ya check engine ime ni wakia naombeni ushauri je ni fault ya umeme au vipi maana gari ilikua ime lala kwa muda mrefu ndo kuja kufufuliwa na service juu na rangi kutembea ndo ikanza tatizo hio ila haina shida navyo iona mimi, sema taa ina nipa wasi wasi