Msaada plzz ku unlock mysamsung...

Donpela

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
2,040
Reaction score
592
Habari wakuu,,
juzi nilinunua samsung GT-E1190
vile vidogo vyaku flip kwenye supermarket moja..sasa ndani nimekuta kuna line ya UK mpya
nikaachana nao,,nikaweka chip za kibongo hazifanyi kazi zinasema enter passCODE
..iyo ya UK no signal
...ni kama imelokiwa kutumia line..
>>>msaada wakuniWezesha kupata code,maana cjui ata pakuanzia//// IMEI ;356726056518772
ASANTE
 
kama inakuomba password ina maana mtumiaji wa mwisho kabla yako ameilock. ku-unlock phone kwa kutumia IMEI No. is only possible km kampuni ya simu ndo imeilock. Mara nyingi itakuuliza code siyo password.**************************Kwa vile umeinunua dukani wapelekee wenyewe wakufanyie utundu.
 
mkuu ndo iyo iyo pass code wanayo omba sio password...nilikosea
 
mkuu ndo iyo iyo pass code wanayo omba sio password...nilikosea
  • Zingatia ushauri wa juakali hapo juu - Irudishe mahala ulipo nunua wao watajua wafanye nini.
  • Vinginevyo unapaswa kununua hizo unlock code - Na kwa fedha za kitanzania si chini ya tsh 25,000/- , hii inategemeana imelokiwa na mtandao gani mfano O2, Vodafone n.k
  • Kuna huu uzi unazungumzia maswala ya unlocking
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html[/URL]
    Karibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…