nina iphone 3g,ilikuwa na 4.1 firmware nikai upgrade to 4.2.1 na kuitumia sana tu,sasa nikataka kufuta kila kitu kwenye hii simu so nikabonyeza erace all,ikamaliza but ikagoma kuwaka ila nilipoforce nikaiweka kwenye recovery mode,sasa sijui nifanyeje niiwashe hii simu maana ishakuwa kama toy,tafadhali mnisaidie