Habari wana jukwaa la Tech! Nina Camera Digital Sony Cyber - Short. Kila nikiunganisha na USB cable kwenye Pc inakataa kusoma kabisa picha zilizokuwa kwenye Memory iliyoko kwenye Camera. Nikitumia Camera kuangalia hizo picha zilizoko kwenye memory card zinaonesha vizuri. Je, nifanyeje niweze kucopy hizi picha kutoka kwenye Camera kwenda kwenye Pc? Hapo awali ilikuwa inawezekana kucopy hizo picha lakini sasa hivi Memory card imegoma kabisa kusoma kwenye Pc hata nikitumia Card reader.